
Frank Domayo kulia akichuana Seseme wa Simba B
Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo wa JKT Ruvu Frank Domayo kwa mkataba wa miaka miwili.
Domayo alieng`ara kwenye kikosi cha Stars juzi amelezwa kuchukua kiasi cha milioni 15 pamoja na mshahara mnono.
Usajili huu unaelezwa kuimarisha zaidi kikosi cha Yanga ambacho kwa sasa kinaviungo wengi kuliko washambuliaji walionekana kuwa tatizo kwenye timu hiyo.
0 comments:
Post a Comment