AZAM YA ISHTAKI SIMBA JUU YA JEBA.


 
                       Ibrahim akiwa mwenza kushoto.
Uongozi wa klabu ya Azam FC imeishtaki klabu ya Simba juu ya sakata la usajili wa nyota wa Azam Ibrahim Rajabu maarufu kama Jeba.
Msemaji wa Azam FC,Jafa Iddi Maganga amesema ni kitendo cha aibu kwa klabu kama simba kusajili mtu ambaye anamkataba na klabu yake.
Aidha amethibisha kufungua mashtaka kwenye shirikisho la soka nchini TFF huku akisema kwa Simba haito weza kumtumia mchezaji huyo kwa aina yoyote ile.

0 comments:

Post a Comment