REAKING NEWSSS....MIYEYUSHO NA MASAMBA

 
Habari yenye kuaminika ambao ni msisitizo mkubwa kwa mara ya  pili Twalib Omary nautoa kuwa pambano la masumbwi kati ya bondia Francis Miyeyusho wa Tanzania na John Masamba toka Malawi lipo palepale.
Kwa mujibu wa makamu wa raisi wa PST Aga Piter kuwa ni chuku tu toka kwa mmoja kati watu hawana mapenzi na maendeleo ya ngumi amesambaza taarifa hiyo kwa waandishi lakini sikweli na pambano lipo palepale siku ya Ijumaa ya juni 22 kwenye ukumbi wa Vijana pale Kinondoni.
Na hii leo mabondia wote wamepima uzito na wametoshana wakiwa wote wana kilo 55 Super Bantam, haya yamewekwa wazi na Twalib Asenga ambaye ndiye Promota wa pambano hilo.
,,,,Kiukweli haipo sawa kwa waandishi kama sisi wa michezo kuandika taarifa za kushusha michezo baada ya kupandisha michezo je tutafika. Tukutane kesho Vijana kindndoni kwaaji ya kushuhudia pambano.

0 comments:

Post a Comment