STARS NJE CAN 2013


 
Stars nje michuano ya Afrika yapigwa kwa penati 8 kwa 7 baada ya kumaliza dakika 90 ikiwa sare ya goli moja kwa moja.
Hadi  ya dakika ya 90 stars ilikuwa imelala kwa goli moja kwa lakini Aggrey Moris aliokoa jahazi baada ya kuchomoa goli hilo mwishoni.
Kwa matokeo hayo star imekosa muendelezo wa kuwania tiketi ya kushiriki michuano hiyo ya mwaka 2013 kule Afrika ya kusini.

0 comments:

Post a Comment