
Tomas Rosick
Michezo ya robo fainali ya michuano ya ulaya itarajiwa kuanza kesho kwa mchezo kati ya Jamhuri dhidi ya Ureno litakaloanza majira ya saa tatu na arobaini tano.
Pambano hilo litakalochezwa kwenye uwanja wa Stadio Narodo linaweza likakoswa na nyota wa Cherk Tomas Rosick ambaye anasumbuliwa na majeraha.
Kwa upande wake naye kocha wa timu ya Cherk Vladmir Smicer amekiri kuwepo kwa shaka ya kumtumia kiungo huyo baada kushindwa kufanya mazoezi siku nne.
Naye msemaji wa timu hiyo Czech, Jaroslav Kolar amesema kuwa taarifa ya kuwepoe ama kutokuwepo kwa nyota huyo itatolewa jioni ya leo.
Rosick ni kungo mahiri wa Arsenal na taifa la Cherk na katika miaka ya hivi karibuni alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu akiwa na klabu ya Arsenal
0 comments:
Post a Comment