AVB YAKE NI HAYA JUU YA URENO.


 
Kocha wa Zamani wa Chelsea Andres Villa Boas anaamini kuwa taji la ulaya msimu huu litatua kwa  taifa lake la Ureno baada ya miamba hiyo kuingia nusu fainali ya michuano hiyo.
Boas amesema kuwa Ureno inakocha mzuri anafahamu jinsi ya kuongoza timu na anaweza kufanya makubwa ikichangiwa na mshambuliaji nguli wa Real Madrid Cristiano Ronaldo.
Ronaldo ndiye aliefunga goli pekee la Selecao kuipeleka timi hiyo hatua ya nusu fainali wakati huku ikumbukwe kuwa Ureno ilianza vibaya michuano hiyo baada ya kukubali kichapo cha goli 1kwa 0 toka Ujerumani.

0 comments:

Post a Comment