BECKAM ANAIMANI KIKOSI CHAKE NI BORA.


                        
Imani ya mshambuliaji wa zamani wa England David Beckam ni kwamba timu yao itafika fainali na kutwaa ubingwa michuano hiyo .
Beckam amesema kuwa kama mchezo wa leo dhidi ya Ukraine watashinda basi hakuna sababu za kushindwa kuendelea vizuri kwa michuano hiyo  huku akiwa na matumaini wataendelea vizuri zaidi..

lakini pia amelitaja kundi hili [Alex] Oxlade-Chamberlain, [Theo] Walcott, [James] Milner, [Steven] Gerrard, [Scott] Parker and [Danny] Welbeck, ni kundi hatari

0 comments:

Post a Comment