Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi wa Yanga Jaji John Mkwawa amewataka wanachama kuwa waangalifu katika kuchagua viongozi wa kuendesha Yanga katika uchaguzi wa July 15 mwaka huu.

Jaji Mkwawa
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Mkwawa amesema kuwa umakini ni kitu cha msingi kwa kuwa kiongozi anapopata nafasi akiboronga kila kitu kinaharibika na mipango ya maendeleo inakosa muendelezo mzuri ndani ya klabu hiyo.
Yanga ambayo kwa sasa ipo katika sekeseke la uchaguzi hapo jana tulishuhudia mwanacha wa klabu hiyo Abeid Falcon akipeleka pingamizi ya kupinga wagombea wote wa timu hiyo.
0 comments:
Post a Comment