
Mido akiwa na jezi ya Zamaleck.
Ni Ahmedi Hassan maarufu kama Mido amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia klabu ya Barnsley ya nchini England.
Mshambuliaji huyo alieshinda goli pekee llioiodnoa Yanga amesema anafurahi kurudi England mbali na kucheza ligi ya chini laknini tayari ameweka mizizi yake ndani ya taifa hiyo.
Tayari mido amecheza vilabu kumi katika mataifa saba tofauati na tayari amesisitiza kumalizana na uongozi wa Barnsley
Mwezi January 2011 alijunga na Zamaleck kwa mara ya tatu ikiwa na maana ameshawahi kucheza klabu hiyokatika miaka ya nyuma.
0 comments:
Post a Comment