TWIGA STARS NJE(AWC)


                
                                      Hali ilivyokuwa leo.
Timu ya taifa ya wanawake Twiga Stars hii leo imeshindwa kutamba kwenye uwanja wa nyumbani baada ya kufungwa goli moja kwa sifuri na Ethiopia na kuifanya Twiga kuondolewa kwenye michuano hiyo huku Ethiopia wakosonga mbele zaidi kwenye michuano ya Afrika itakayofanyika mwezi November kule nchini Equatolio Guine.

Katika mchezo huo Twiga ilishambuliwa kwa kiasi kikubwa kiasi cha kukatisha tama mashabiki wachache wa timu hiyo.

0 comments:

Post a Comment