Boniface Cheka kulia akiwa katika shughuli zake.
Baba wa bondia Francis Cheka amekanusha taarifa zinazomuandama mwanawe kujihusishwa na masuala ya kishirikina kila anapopanda ulingoni kuzichapa na wapinzani wake.
Boniface Cheka baba wa bondia huyo kutoka mkoani Morogoro amekanusha taarifa hizo wakati mwanawe akijiandaa na pambano dhidi ya Japhet Kasseba litakalounguma katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam July saba.
Katika pambano April 28 mwaka huu kati ya Cheka na Mada Maugo lilizua utata mkubwa baada ya mipinzani wa Cheka, Mada Maugo kutoa lawama kuwa Cheka anatumia nguvu za giza.
We unasemaji juu ya kauli ya mzazi wa cheka?
0 comments:
Post a Comment