MIDO AJIPA MOYO KURUDI TIMU YA TAIFA.


            
Baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja katika klabu ya Barnsley mshambuliaji wa Misri Ahmed Hossam Mido amesema hajakata tama na kutoitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Misri kitakachoshiriki michuano mbalimbali.
Mido amesema kusajili kwake kutainua jicho la kocha wa Misri Bob Bradley alikuwa akiiinoa Marekani hapo zamani.
Amesema alivyokuwa na Zamaleck alikosa nafasi kwenye kikosi cha Bradley lakini kurudi kwake England kutamfayanya afunge na arudi kwenye kikosi cha Mafaraoh.
Siku ya Alhamisi Mido aliingia mkataba na timu hiyo nayocheza ligi ya mabingwa nchni Ufaransa.

0 comments:

Post a Comment