
Kiungo wa zamani wa Arsenal na klabu AC Milan kwa sasa Matheo Flamin ameongeza mkataba ndani ya klabu yake hiyo ya kitaliano.
Mkataba wa Flamini umekuja wiki moja baada ya kiungo huyo wa kifaransa kulezwa kuwa huenda angeomba kuondoka ndani ya klabu hiyo.
Mwaka mmoja ndio mkataba aliongeza ndani ya klabu hiyo huku akiwa tayari ana miaka minne ndani ya klabu hiyo tangu ajiunge na Milan mwaka 2008.
Kwa upande wake raisi wa Milan Adriano Gallian amesema lishakata tamaa juu ya kiungo na sasa ni faraja kwake kwa kuweza kufanikisha hilo.
0 comments:
Post a Comment