VIONGOZI YANGA WAFANYIWA USAHILI.


               
Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa klabu ya yanga jana wamefanyiwa usahili katika makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Twiga njangwani huku mgombea wa nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi utakao fanyika mwezi ujao Yusuph Manji akionekana kuwavutia mashabiki wengi wa timu hiyo waliofurika mapema hii leo.
Wagombea hao ambao wamefanyiwa usahili na kamati ya uchaguzi huo kwa mujibu wa kanuni na sheria za uchaguzi huo wengine katika nafasi ya uenyekiti ni  Sara Ramadhani huku katika nafasi ya makamu mwenyekiti ikiwaniwa na Clementi Sanga.
Sasa tunacho subiri ni siki ua uchaguzi kazi kwenue wanachama kiongozi bora kwa mafanikio yenu.

0 comments:

Post a Comment