
Klabu ya Arsenal imemsajili rasmi mshambuliaji wa Montpellier mfaransa Olivier Giroud kutoka kwa Montpellier ya Ligue 1.
Giroud ni miongoni mwa nyota wa ufaransa waliokuwemo kwenye kikosi chaUfaransa kilicho shiriki michuano ya Euro 2012, amesaini mkataba wa miaka minne kuwepo Emirates na Gunners wamelipa kiasi cha paundi millioni 12 kupata huduma zake.
Hii ni faraja kwa mashabiki wa Arsena ambapo mpaka sasa kuna hati ya kumkosa mshambuliaji wake Robin Van Parse.
0 comments:
Post a Comment