BECKAM NJE OLIMPIC


                David Beckham
Kiungo wa zamani wa Manchester Unted David Beckam ameondolewa kwenye kikosi cha GB kitakacho shiriki michuano ya Olimpic inayotarajiwa kuanza mwazoni mwa mwezi ujao kule nchini England katika jiji la London.
Beckam awali aliorodheshwa katikawachezaji 35 wa kwanza waliotajwa na kocha wa timu hiyo Stuart Peace wakati wadau mbalimbali wakitoa nafasi kubwa kwa iungo huyo kuwa nahodha wa timu hiyo.
May 18 mwaka huu Beckam anaecheza klabu ya LA Galaxy alifufuka na matumaini makubwa ya kutajwa kwenye kikosi hicho kweny hatua ya mwisho laiki hii leo Stewart Peace ametaja wachezaji wake na hakumuweka kwenye orodha nyota huyo.
Baada ya Maamuzi hayo Beckam mwenye umri wa miaka 34 sasa amesema kuwa amepokea kwa  uchungu maamuzi hayo na anaamini kikosi hicho hakina mtu mwenye mchango mkubwa kuliko yeye ndani ya England.
Juni 24 mwaka huu katika michuano ya ulayakikosi cha England kiliondolewa na Italia kwenye hatua ya robo fainali.

0 comments:

Post a Comment