MWANJALA CUP KUANZA JULAI MOSI JIJINI MBEYA.


Katika sodo la kitaa michuano ya Mwanjala Cup inatarajiwa kuanza julai mbili mwaka huu katika wilaya ya Mbeya vijijni wakati muandaaji wa michuano hiyo Titto Mwanjara amethitisha kuwa takribani vilabu kumi vitashiriki michuano hiyo mikubwa. jijini Mbeya

Baadhi ya malengo ya michuano hiyo kuibua vipaji vya soka vilivyo jificha pamoja kuwaondoa vijana katika maetendo maovu.

0 comments:

Post a Comment