PAMBANO LA MASAMBA NA MIYEYUSHO LIPO PALE PALE.

 
                                    Francis Miyeyusho
Pambano la masumbwi kati ya bondia Francis Miyeyusho na  mmalawi John Massamba lililokuwa lifanyike ijumaa. litafanyika siki ile ile kama kawaida mbali na taarifa zilizo sambazwa kuwa pambano hilo halitofanyika kutokana na uwezo wa bondia wa Malawi kutokuwa na vigezo.

Awali ilidaiwa kuwa uwezo wa Masamba ni mdogo na hanaerkodi nzuri ya Afya na mashindano. lakini muandaaji wa Pambano na raisi wa PST Aga Pitter amesema pambano lipo palepale.

0 comments:

Post a Comment