AZAM KUMSIKILIZA KOCHA JUU YA KUONGEZA MCHEZAJI


 
                                  Kikosi cha Azam fc
Uongozi wa waoka mikate wa Azam Fc umesema kuwa hawana mpango wa kumuacha hata mchezaji wao mmoja katika usajili wa msimu huo.

Kauli ya Azam imepitia kwa msemaji wa klabu hiyo Jafari Idd Maganga wakati akizungumza na kituo cha Ebony Fm huku akisema kuwa nafasi zilizobaki ni za kuongeza wachezaji endapo Kocha atasema anataka kuongeza.
katika msimu huu Azam imetoa funzo kwa vilabu vya Tanzania juu ya kusajili ovyo baada ya wao kusajili nyota takiribani watatu kwaajili ya kuziba nafasi muhimu.

0 comments:

Post a Comment