TIMU ZILIZOPANDA LIGI DARAJA LA KWANZA.


         
Timu zilizofuzu kwenda ligi daraja la kwanza msimu huu, kutoka kituo cha Mtwara zimepanda timu za Ndanda FC ya Mtwara na Kurugenzi ya Mafinga.
Katika kituo cha Mara zimepanda timu za Polisi  Mara pamoja na Tesema ila kunataarifa za kuwa kuna rufaa ambayo imekatwa kwenye kituo hicho ambayo inaweza ikabadili matokeo.
Katika kituo cha Kigoma timu zilizo panda ni moja ambayo ni Kanembwa kundi hili limetoa timu moja kutokana na wingi wa timi katika kundi ambapo kwenye kundi la Mtwara na Mara zilikuwa timu nane nane huku kundi la Kigoma zikiwa timu saba.

0 comments:

Post a Comment