
Nyota wa zamani wa Yanga Ally Msigwa.
Timu ya Vijana ya Ipogolo Stars chini umri wa miaka 17 ipo jijini Dar es Salaam kwaajili ya mashindano maalum ya vijana ya IDYOSA na mpaka sasa timu hiyo imeshinda michezo 5 na hii leo imefungwa na Azam B magoli 3 kwa 0.
Kwamujibu wa mratibu wa ziara hiyo mchezaji wa zamaini wa Yanga Ali Msigwa amesema kikosi hicho kinaweza kurejea kesho mkoani Iringa kana watakosa mechi na Yanga B.
Lengo la ziara hiyo kuwatafutia vijana njia ya mafanikio ya mchezo wa soka.
Mbali na hayo Yote Msigwa kuna timu mbili zinamuhitaji ikiwemo Mtibwa na African Lyon huku tetesi zikituambia kuwa wakala wa mchezaji huyo Damas Ndumbalo anampango wa kumpeleka nyota huyo nchini Canada kwaajili ya Majaribio.
0 comments:
Post a Comment