KAPOMBE MWANAMICHEZOBORA NCHINI

 
                           Kapombe akipewa tuzo.
Rais Mstaafu wa awamu ya Mzee Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Mchezaji bora wa mwaka kutoka timu ya Simba na Taifa Stars Shomari Kapombe tuzo yake ya mwanamichezo bora wa mwaka wa katika tuzo za zinazoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
katika tuzo za kila mwezi za simba Kapombe alichukua tuzo ya mchezaji bora chipukizi mwanzoni mwa mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment