
Kikosi Ruvu
Uongozi wa timu ya soka ya JKT Ruvu Starz upo katika mchakato wa kusajili wachezaji watakatafuta ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2012-2013.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Katibu Mkuu wa JKT Ruvu David Ngaga amesema kuwa hadi leo bado hawajaongeza mchezaji yeyeyote huku akisema kuwa kuongeza ni lazima.
Mpaka sasa vilabu mbalimbali vinafanya jitihada za kutosha kuhakikisha wanasajili nyota bora huku klabu ya Azam ikiwa ndio timu pekee kufunga suala la usajili
0 comments:
Post a Comment