
Alcantala.
Hii ni Gazeti na Dirreta News la nchini Hispania likisema kuwa klabu ya Manchester united inamtolea macho kiungo wa Barcelona Thiago Alcantala.
Kwa taarifa zilizoandikwa kwenye Gazeti hilo zanasema kuwa kiungo huyo ambaye ni rafiki mkubwa wa kipa wa United David De Gea kwenye kikosi cha Hispania chini miaka 21 ameandaliwa kiasi cha paundi milio25 na Manchester united.
Lakini pia nahusishwa na kutakiwa na klabu ya PSG ya Ufaransa.
0 comments:
Post a Comment