
Marcio Maximo.
Suala la ujio wa Maximo nchini kuwa kitendawili hii inatokana na taarifa ujio wa kocha huyo alietakiwa kuwasili nchini kesho kutotolewa maelezo mazuri na msemaji wa Yanga Luis Sendeu kwa kusema kuwa akija tutaona na kama hakuja tutaarifiwa.
Naye katibu wa Yanga amesema Mwesigwa Selestine alikana kwa kusema taarifa za ujio wa Maximo zilitolewa kimakosa na msemaji wa Yanga ikiwa na maana hazina ukweli.
Katika sula la usajili Yanga imesha msajili kipa wa Simba, Barthez,Saidi Bahanuzi,mshambuliaji wa Rwanda anaejulikana kwa jina Kagere na mlinzi wa kimalawi anayejulikana kwa jina la Kamwendo.
0 comments:
Post a Comment