Kikosi cha Copa coca cola mkoani Iringa kusafiri kesho kuelekea mkoani Pwani kwaajiliya michuano hiyo kwamujibu wa katibu wa IRFA Eliud Mvela amesema kikosi hicho kitasafiri na viongozi 4 pamoja na wachezaji 20 tayari kabisa kufanya makubwa kwenye michuano hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment