KIKOSI CHA STARS YA LEO


  
Kikosi cha Stars kilichocheza na Malawi.
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulen ametaja kikosi chake kitakachoanza mechi ya leo dhidi ya Msumbiji (The Mambas) itakayochezwa Uwanja wa Taifa ulioko Zimpeto mjini Maputo. Mechi itaanza saa 9 kamili kwa saa za hapa ambapo nyumbani
Tanzania itakuwa saa 10 kamili.

Stars ya leo inaundwa na;
1. Juma Kaseja, 20. Shomari Kapombe, 22. Erasto Nyoni, 6. Aggrey Morris, 5. Kevin Yondani, 19. Shaabani Nditi, 8. Mrisho Ngasa, 16. Frank Domayo, 11. Thomas Ulimwengu, 10. Mbwana Samata na 15. Mwinyi Kazimoto.

Wachezaji wa akiba;
18. Deogratias Munishi, 17. Amir Maftah, 13. Jonas Mkude, 3. Haruna Moshi, 12. Simon Msuva, 9. Christopher Edward, 14. John Bocco, 7. Ramadhan Singano na 21. Nurdin Bakari.

Benchi la Ufundi;
Kim Poulsen (Kocha Mkuu), Sylvester Marsh (Kocha Msaidizi), Juma Pondamali (Kocha wa Makipa), Leopold Tasso (Meneja wa Timu), Dk. Juma Mwankemwa (Daktari wa Timu), Dk. Frank Mhonda (Physiotherapist) na Alfred Chimela (Mtunza Vifaa).

Refa: Bennett Daniel (Afrika Kusini)
Refa Msaidizi 1; Molefe Enock (Afrika Kusini)
Refa Msaidizi 2; Siwela Zakhele Thusi (Afrika Kusini)
Refa wa Akiba; Hlungwani Tinyiko Victor (Afrika Kusini)
Kamishna wa Mechi; Mateus Joel Amdhila (Namibia
)

0 comments:

Post a Comment