
Klabu ya QPR imekamilisha usajili wa kipi mkongwe Rob Green kwa mkata wa miaka miwili.
Green amesaini huku akiitolea nje klabu ya West aliojiunga nayo tangu mwaka 2006 kuingia mkataba wa miaka miwili mbele.
Green anamiaka 32 na amewahi kuvaa jezi nambari moja ya England kabla ya kuvuliwa jezi hiyo na kipa wa Manchester City Joe Hart.
Kocha kocha mpya wa QPR Mark Hughes amesema kuwa ni ubira mkubwa kuwa na kipa huyo kongwe katika kikosi chake.
0 comments:
Post a Comment