
Jamii za kitanzania zimetakiwa kuondokana na mtazamo wa kudhani kuwa mchezo wa soka ni mahsusi kwa wanaume pekee na badala yake kila mzazi ameshauriwa kwenda na wakati katika suala zima la kuuendeleza mchezo huo.
Hayo samesemwa na mdau wa soka mjini Iringa bwana Paskal Bela wakati akizungumza na www.drmuwa.blogspot.com kutathmini ushiriki wa wanawake kwenye mchezo huo.
Soka la wanawake linanyimwa nafasi ya kuwa na msisimko kutokana na wadau wakubwa wa soka kufumba macho juu ya soka la kina dada.
0 comments:
Post a Comment