TUZO ZA TASWA

     
Mzee Mwinyi akitoa hotuba yake kwenye hafla ya ugawaji tuzo za Taswa za mwaka huu.
                
     
Baba wa familia ya ngumi Mzee Matumla akitoa akikabidhi tuzo ya nyota bora wa kimataifa Emmanuel Okwi kwa makamu mwenyekiti wa Simba Nyange Kaburu.
                  
Aggrey Moris akikabidhiwa tuzo ya mwanasoka bora na mkurugenzi wa shirika la habari la Zanzibar ZBC. Omary Saidi.
                   
Mwenyekiti wa kamati ya tuzo hizo Masoud Saanane akitoa akizungumza katika hafla hiyo.

0 comments:

Post a Comment