
Miyeyusho akiwa taji UBO.
Bondia wa ngumi za kulipwa Franciss Miyeyusho anatarajiwa kupanda ulingoni kucheza na John Masamba wa Malawi katika pambano la ubingwa wa mabara (UBO Intercontinental) pambano litakalofanyika juni 22 mwaka huu kwenye ukumbi wa Vijana Hall.
Akizungumza name hii leo bondia huyo amesema kuwa amejiandaa vizuri kwa pambano hilo muhimu la kutetea ubingwa wake wa UBO aliochukua mikononi mwa Mbwana Matumla.
0 comments:
Post a Comment