Nyota wa Twiga wakishangilia moja ya ushindi wao.
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza amewaomba wachezaji wa timu ya Taifa ya wanawake Twiga Starz kuuvaa Utanzania watakaposhuka dimbani kesho kucheza na Ethopia.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Mwantum amesema kuwa kitu ambacho wanatakiwa kufanya hapo kesho ni nidhamu pamoja na kuutawala mchezo ili Ethopia wasipate nafasi ya kupata hata goli moja.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Mwantum amesema kuwa kitu ambacho wanatakiwa kufanya hapo kesho ni nidhamu pamoja na kuutawala mchezo ili Ethopia wasipate nafasi ya kupata hata goli moja.
Stars itacheza na Ethiopia ikiwa na deni la goli moja iliweze kufuzu ukilinganisha na matokeo ya awali ambapo Twiga ilifungwa goli moja kwa sifuri.
0 comments:
Post a Comment