Rais wa TFF,Tenga
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chillah Tenga leo Amemtetea beki wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin Patrick Yondan kuhusiana na mkataba aliosaini Yanga kuwa yupo sawa.
Tenga amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Yondani kusaini mkataba mara mbili.
Tenga amesema kila kitu kipo wazi na kitajulikana mwisho wa safari kama amesaini klabu mbili huku akisisitiza kuwa wanachomchunguza kwasasa ni kuhusiana na kutoka kambini bila ya taarifa kudaiwa kusaini mara mbili, lazima kuna klabu moja imefanya uhuni, maana yake anamtetea beki huyo kwamba hajasaini mara mbili.
0 comments:
Post a Comment