WAKALA WA BENZEMA AWEKA UKUTA WA MWIBA.


Mshambuliaji wa Ufaransa na Real Madrid ya Hispani Karim 
 
                                   Karim Benzema
Benzema hatoondoka ndani ya klabu hiyo.
Hayo yameelezwa na wakala wa mchezaji huyo Karim Jazir kwamba mteja wake  mwenye umri  wa miaka 24 hatojiunga na klabu hiyo.
Ausubuhi ya jana mshambuliaji huyo alisema kuwa hana mpango wa kujiunga na Manchester united mbali na kocha wa timu hiyo kumuhitaji kwaajili ya msimu ujao.
Benzema alijunga na Madri mwaka 2009 akitokea Olimpic Lyon na ana mkataba na Madrid hadi mwaka 2015

0 comments:

Post a Comment