KURUGENZI YACHAPWA NA WATOTO WA MAJUTO


Michuano ya ligi ya taifa ngazi ya kanda timu ya kurugenzi  hii leo imeonja uchungu wa ndoa kule mkoani Mtwara baada ya kufungwa goli 1 kwa 0 na timu ya Mkamba Rangers timu inayomilikiwa na mwandishi mkongwe Majuto Omary.

Wakati huo timu ya Tenende toka jiji la mbeya hii leo imefungwa goli 1 kwa 0 toka Mati Elefant toka jijini mbeya.

Kwa matoke hayo ya leo timu ya Kurugenzi inashika nafai ya kwanza ikiwa na alama 13 huku Ndanda fc ikifuatiwa ikiwa na alama 10

0 comments:

Post a Comment