
Roy Hogson
Kocha wa kikosi cha England Roy Hogson amepokea kwa huzuni kubwa taarifa ya aliekuwa kocha Tottenham Hary Rednap kuachia ngazi ndani ya timu hiyo.
Hogson ambaye kwa sasa yupo na kikosi cha England kwenye michuano ya ulaya amesema ni huzuni kubwa iliyotanda kwake kwakuwa alikuwa kocha mzuri huku akiondoa wasi wasi wa kuchoa huyo kuchelewa kupata kazi nyingine.
Aidha katika maelezo yake Hogson alimtumia Rednap ujumbe wa kutaka ushirikiano ili kukabiliana na kikwazo cha michuano ya ulaya na tayari amekata tamaa ya kupata jibu mapema juu ya ujumbe wake.
Redknapa ameacha kazi usiku wa juzi huku kukiwa fununu za kocha huyo kutokuwa na maelewano mazuri na mwenyekiti wa klabu hiyo Dan Levy.
0 comments:
Post a Comment