XAVI AFANYA KUFURU YA PASI ULAYA.


                    
                                      Xavi Hernandez
Kiungo wa timu ya taifa ya Hispania  Xavi Hernandez amevunja ya rekodi ya upigaji wa pasi kwenye michuano ya ulaya baada ya kupiga pasi zipatzo  136 katika mchezo wa jana dhidi ya Jamhrui ya Ireland uliomazilika kwa Hispania kushinda magoli 4 kwa 0.

Rekodi ya Xavi imevunja rekodi ya mchezaji wa zamani wa Uholanzi Ronald Koeman aliepiga takribani pasi 117 kwenye wa michuano hiyo dhidi ya Denmark uliochezwa mwaka 1992.

Kwa upande mwingine Hispania imeandika rekodi ya kupiga pasi 860  tangu michuano hiyo ya ulaya ambapo ni rekodi kubwa kutengenezwa katika mchezo dhidi Ireland.

Fernando Torres alikuwa shujaa wa mchezo huo uliomalizika kwa La roja kuondoa Irelanda kwa aslimia 78 dhidi ya 22 za mchezo.

0 comments:

Post a Comment