
Kocha wa Stars, Kim Poulsen
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema ili kuitoa Msumbiji ‘Mambas’ kwenye michuano ya Afrika ni lazima timu yake ishinde mechi ya marudiano itakayochezwa Juni 17 mwaka huu jijini Maputo.
Poulsen amesema kuwa kocha wa mchezo huo muhimu kushinda kwa kipindi hiki kigumu cha kuwania tiketi ya kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Afrika
Mechi ya marudiano kusaka tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Afrika Kusini itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa ulioko Zampeto nje kidogo ya Jiji la Maputo kuanzia saa 9 mchana kwa saa za huko.
0 comments:
Post a Comment