Michuano ya Mkwa magic Site kwa upande wa netball ambayo kwa sasa ipo katika maandalizi mazito yanaweza yakaingia dosari kutoka na timu kadhaa kushindwa kushiriki.
Katibu wa Netball Iringa,Edina Kajiba amesema kuwa mbali na maandalizi mauzri michuano hiyo inaweza kuchelewa kuanza kutoka na baadhi ya timu kushindwa kushiriki kwa sababu zisizo zuilika.
Kajiba amesema timu za vyuo ambazo ni Tumaini na Mkwawa zinaweza kukwamisha mashindano hayo kutoka na wanachuo kuingia katika mitihani ya mwisho.
kwa upande wa timu nyinge Kajiba amesema zipo katika maandalizi mazuri na mashindano yatakuwa bora.
0 comments:
Post a Comment