WAINGEREZA KULIPWA TIKETI JIONI HII.



 England fans
                                        Hali ilivyokuwa jana.
Shirikisho la soka nchini Poland, PFA, limesema kuwa linaweza kufidia tiketi za mashabiki walioingia katika uwanjani kushuhudia mchezo kufuzu fainali za kombe la dunia, kati ya Poland na England ambao haukucheza usiku wa jana.

Washabiki takribani 2500 wa kingereza walisafiri kwaajili kushuhudia mechi hiyo iliyoahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji, tayari PFA wamethibitisha kuwa wanafahamu kiasi cha tiketi zilizo nunuliwa na zilizo tumika na watarejesha tiketi kwa  wale mashabiki walioingia uwanjani hapo jana.

Kwa upande wake mkurungezi wa England, Adrian Bevington amesema kufidia kwa tiketi za washabiki ndicho wanachotarajia lakini hawawezi kutoa maamuzi yoyote juu ya suala hilo kwa kuheshimu majukumu ya kiutawala.

 Hapo jana mchezo kati ya England na Poland ulivunjika baada ya kunyesha kwa mvua kubwa  iliyopelekea kufutwa kwa mchezo uliopangwa kufanyika kwenye uwanja wa Warsaw nchini Poland.

 Water torture: Dutch referee Bjorn Kuipers (C) stops the game due to the adverse weather conditions
  hii ilikuwa michuano ya ulaua France na Ukraine juni 15-2012 pale Dombas    nchini Ukraine mechi ilisogezwa mbele.

0 comments:

Post a Comment