BLIT KUVUNJA UDHAMINI NDANI YA ENGLAND.



 Alistair Cook
Timu ya taifa ya England ya mchezo wa Cricket itaanza mchakato wa kutafuta mdhamini wa mavazi ya timu hiyo baada ya mdhamini mkuu ambaye ni kampuni ya  Blit Insurance kutangaza kutoongeza mkataba mara baada ya kumalizika.
Katika mkataba huo uliokuwa ukihusika na utoaji wa vifaa vya mazoezi na mechi mbalimbali za timu hiyo uliiwezesha England kudumu kwa mafanikio makubwa kwenye michezo yake ya kimataifa.
Kwa mujibu wa viongozi wa kampuni hiyo wamesema kuwa wamefikia uamuzi huo baada ya kutosheka na kazi waliyoifanya na timu hiyo tangu mwaka 2011 na huku ukielezwa kuwa mkataba huo unamalizika rasmi mapema mwaka 2014.
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa bodi ya biashara ya Cricket katika mataifa ya England na Wales Cricket, John Perera amesema taratibu za kuvunjwa kwa mkataba huo zitafanyika mapema kama watapa mrithi wa nafasi hiyo.
Kampuni ya Blit iliingia mkataba na England mapema mwezi January mwaka 2011 ikichukua nafasi ya kampuni ya KIA iliyomaliza muda wake. Lakini pia BLIT.
Chanzo ni BBC.

0 comments:

Post a Comment