GERRARD AJIFUNGA ZAIDI NDANI YA LIVERPOOL.



               
Kiungo wa Liverpool na nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard amesema kuwa ataendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwisho wa kipindi chake cha uchezaji soka.
Gerrad amesema kuwan kila mmoja anadhani kuwa kichwa chake kinafikiria kuondoka aliko sasa lakini si kweli bado kufirikia suala hilo ambalo ni zito zaidi.
Aliongeza kiungo huyo mwenye umri wa miaka 32 kuwa hajutii kuwa na Liverpool na anafurahia maisha ya Anfild. Nime zaliwa Liverpool na ni mshabiki wa Liverpool nikiwa na maana nitamaliza maisha yangu ya soka nikiwa hapa, Alisema Gerrard.
Ikumbukwe kuwa juni 25 mwaka 2004 mmliki wa Chelsea Roman Abrohomovic alitaka kumsajili Steven Gerrard  kwa ada ya paundi  milioni 36 huki akiwekewa mshahara wa paund 120000 kwa wiki.
Gerrard alijiunga Liverpool November mwaka 1998  mpaka sasa tayari amecheza mechi 600.
Gerrard's Trophy Haul
  • FA Cup: 2001, 2006
  • League Cup: 2001, 2003, 2012
  • Champions League: 2005
  • Uefa Cup: 2001
  • Uefa Super Cup: 2001, 2005
  • Community Shield: 2001, 2006
  • FWA Footballer of the Year: 2009
  • PFA Players' Player of the Year: 2006
  • PFA Young Player of the Year: 2001

0 comments:

Post a Comment