MURREY AZIDI KUPETA CHINA OPEN



 Andy Murray
                                         Murrey akiwa kazini.
Murrey kamfunga Mswiss Stanilas Warinka kwa seti 6-2 3-6 6-2  huku akitumia masaa 2 na dakika moja.
Bingwa huyo wa US Open amesema kuwa haikuwa rahisi kushinda mchezo huo haswa katika kutafuta ushindi kwenye seti ya tatu.
Kabla ya kucheza mechi ya leo Murrey alitinga hatua hiyo baada ya kumfunga Milos Raonic kwa seti 6-4,6-4 na 6-2 na kutinga hatua ya robo fainali.
Lakini Murrey mwenye umri wa miaka 25 ameahidi kuendeleza wimbi la mafanikio kwa waingereza wenye uchungu wa mataji na grand slam tangu mwaka 1936 ambapo Murrey aliwafuta machozi Septemba 11 kwa kutwaa taji la US Open.
MWISHO.

0 comments:

Post a Comment