Timu ya Njombe mji toka mkoa mpya wa
Njombe hapo kesho itashuka dimbani kucheza na timu ya Burkinfaso ya Morogoro
katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa kwenye uwanja wa Amani.
Akizungumza na Ebony FM katibu wa
Njombe Mji, Kaini Nyigu amesema maandalizi ya mchezo huo yamekamilika huku
akiwataka wadau kujitokeza kwenye mchezo huo.
Huu
ni mchezo wa nne wa mkubwa wa kirafiki kwa timu ya Njombe mji ambayo imajipanga
vilivyo kuhakikisha inafanya vema kwenye michuano ya ligi ya wilaya.
0 comments:
Post a Comment