
Kocha
wa Manchester City Roberto Mancini amekiri kuwa itakuwa miujiza kwa timu yake
kufika hatua ya mtoano ya michuano ya ligi ya mabingwa baada ya kumaliza vibaya
mchezo wa mwisho wa hatua ya mkundi.
Hapo
jana kikosi chake cha Manchester City kilichopo kundi katika michuanoa ya
mabingwa barani ulaya kilifungwa na Ajax ya Uholanzi magoli 3kwa 1 na kuifanya
timu hiyo imalize raundi ya kwanza ya makundi ikiwa na alama 1.
Kocha
wa huyo wa kitaliano amethibisha kuwa kufungwa mchezo wa jana kunatokana na
maandalizi mabovu aliyoyafanya na kikosi chake huku akisema kwamba stahili
kucheza kama wapinzani wake ambao ni Madrid, Dotmund na Ajax wanavypambana
katika michuano hiyo.
Katika
kundi D Manchester inashika nfasi ya 4 ikiwa na alama moja wakati Borusia
Dotmund ikiongoza kundi ikiwa na alama 7 ikifuatiwa na Real Madrid yenye alama
6 na nafasi ya tatu ikishikwa na Ajax yenye alama 3.
0 comments:
Post a Comment