Kwa upande wa kundi A, ligi hiyo
inaendelea hapo kesho timu ya Polisi Iringa kucheza Mbeya City (Samora,
Iringa), Majimaji vs Small Kids (Majimaji, Songea), Burkina Faso vs Mkamba
Rangers (Jamhuri, Morogoro) na Kurugenzi Mufindi vs Mlale JKT (Wambi, Mufindi).
Kwa upande wa kundi B, hapo kesho
Ndanda FC vs Green Warriors (Nangwanda Sijaona, Mtwara), Villa Squad vs Tessema
(Mabatini, Pwani) wakati Oktoba 28 mwaka huu ni Ashanti United vs Transit Camp
(Mabatini, Pwani) na Oktoba 29 mwaka huu ni Moro United vs Polisi Dar es Salaam
(Chamazi, Dar es Salaam).
Raundi ya pili kwa upande wa kundi C,
hapo kesho,Polisi Tabora vs Polisi Dodoma (Ali Hassan Mwinyi, Tabora), Mwadui
vs Polisi Mara (Kambarage, Shinyanga), Kanembwa FC vs Morani (Lake Tanganyika,
Kigoma) na Pamba vs Rhino Rangers (Kirumba, Mwanza).
0 comments:
Post a Comment