SIMBA YATEUA KAMATI MPYA.



 
Uongozi wa klabu ya samba umteua kamati mpya za klabu hiyo ikiwa nisehemu ya maandalizi ya timu hiyo kwaajili ya ligi kuu ya Tanzania bara na ligi ya mabingwa ya Afrika.


Baada ya kutajwa kwa kamati hizo mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage amewapongeza wale wote walioteuliwa kwenye kamati hizo za wekundu wa msimbazi.

Lakini pia kamati hizo zinaanza kazi mara moja na zimepewa fursa ya kuita vikazo pale zinapotaka kukamilisha majukumu yake.
Kamati za samba zipo kama ifuatavyo.

KAMATI YA UFUNDI
Damian  Manembe-MWENYEKITI, Ibrahimu Masoud-MAKAMU MWENYEKITI, Crescencius Magori, Khalid Abeid, Said Tully, DR. Katagile, Zamoyoni Mogela, JonhWilliam (DEL PIERO), Yusuf Macho, Jeff Lea, Bita John, Shabani Baraza
KAMATI YA FEDHA
Geofrey Nyange (MWENYEKITI),Rahma  AL Khaloos-MAKAMU MWENYEKITI, Francisis Waya, Zitto Kabwe, Juma Nkamia, Ruge Mutahaba.
 KAMATI YA MASHINDANO
Swedy Mkwabi-MWENYEKITI, Saidi Pamba-MAKAMU MWENYEKITI, Selemani Zeddy. (MB), Jerry Yambi, Iddi Kajuna, Chaurembo Gerlad Lukumay, Habib Nassa, Bundala Kabulwa, Charles Hamkah, Saidi Rubeya, Abdulfatah Salum,Hatibu Mwinyi, Abdul Mshangama, Humphrey Zebedayo, Majaliwa Mbassa, Suleimani Zakazaka, Kessi Mohammed, Mohammed Issa Mbena.
KAMATI YA PROGRAMU ZA VIJANA
Ibrahimu Masoud –MWENYEKITI,Ruge Mutahaba-MAKAMU MWENYEKITI, Joseph Kitang`are-MJUMBE/MLEZI, Wilfred Kidau,Mohammed Abdallah,Saidi Tully, Canisius Masombaro,Hamis Mrisho,Dama Ndumbaro,Talib Hilal.
Kwa upande mwengine klabu ya Simba inarejea kesho kutoka Oman saa 10 jioni na itaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya African Lyon Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

0 comments:

Post a Comment