
1.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF imepitia Fomu za waombaji uongozi wa TFF
na kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za TFF ibara ya 11 (1), (2) na (3),
waombaji uongozi wafuatao majina yao na nafasi wanazoomba kugombea yanawekwa
wazi kutoa fursa kwa wale wote
wenye pingamizi kwa nini mwombaji aliyetajwa hapa chini asiteuliwe kugombea nafasi aliyoomba, wawasilishe pingamizi zao kwa Katibu Mkuu wa TFF, kuanzia tarehe 22 Januari 2013 hadi tarehe 26 Januari 2013 saa 10.00 jioni.
wenye pingamizi kwa nini mwombaji aliyetajwa hapa chini asiteuliwe kugombea nafasi aliyoomba, wawasilishe pingamizi zao kwa Katibu Mkuu wa TFF, kuanzia tarehe 22 Januari 2013 hadi tarehe 26 Januari 2013 saa 10.00 jioni.
2.
Pingamizi sharti liwe kwa maandishi, lieleze kwa uwazi sababu za
pingamizi, liambatanishwe na ushahidi wa pingamizi, liwe na jina kamili la mtoa
pingamizi, anwani ya kudumu na saini yake.
NAFASI
|
S/No.
|
JINA
|
RAIS WA TFF
|
||
1.
|
Athumani Jumanne Nyamlani
|
|
2.
|
Jamal Emily Malinzi
|
|
3.
|
Omary Mussa Nkwarulo
|
|
MAKAMU WA RAIS WA TFF
|
||
1.
|
Michael Richard Wambura
|
|
2.
|
Ramadhan Omar
Nassib
|
|
3.
|
Wallace Karia
|
|
MJUMBE WA KAMATI YA
UTENDAJI –
Kanda ya 1 (Kagera, Geita)
|
1.
|
Abdallah Hussein Musa
|
2.
|
Kalilo Samson
|
|
3.
|
Salum Hamis Umande Chama
|
|
Kanda ya 2 (Mwanza, Mara)
|
1.
|
Jumbe Oddessa Magati
|
2.
|
Mugisha Galibona
|
|
3.
|
Samuel Nyala
|
|
4.
|
Vedastus F.K Lufano
|
|
Kanda ya 3 (Shinyanga, Simiyu)
|
1.
|
Epaphra Swai
|
2.
|
Mbasha Matutu
|
|
Kanda ya 4 (Arusha, Manyara)
|
1.
|
Charles Mugondo
|
2.
|
Elley Simon Mbise
|
|
3.
|
Omary Walii Ali
|
|
Kanda ya 5 (Tabora, Kigoma)
|
1.
|
Ahmed Idd Mgoyi
|
2.
|
Yusuf Hamis Kitumbo
|
|
Kanda ya 6 (Rukwa, Katavi)
|
1.
|
Ayubu Nyaulingo
|
2.
|
Blassy Mghube Kiondo
|
|
3
|
Nazarius A.M Kilungeja
|
|
4.
|
Seleman Bandiho Kameya
|
|
Kanda ya 7 (Iringa, Mbeya)
|
1.
|
David Samson Lugenge
|
2.
|
Eliud Peter Mvella
|
|
3.
|
John Exavery M. Kiteve
|
|
4.
|
Lusekelo E. Mwanjala
|
|
Kanda ya 8 (Ruvuma, Njombe)
|
1.
|
James Patrick Mhagama
|
2.
|
Stanley W. D Lugenge
|
|
Kanda ya 9 (Mtwara, Lindi)
|
1.
|
Athuman Kingome Kambi
|
2.
|
Francis Kumba Ndulane
|
|
3.
|
Zafarani Mzee Damoder
|
|
Kanda ya 10 (Dodoma, Singida)
|
1.
|
Hussein Zuberi Mwamba
|
2.
|
Stewart Ernest Masima
|
|
Kanda ya 11 (Morogoro, Pwani)
|
1.
|
Farid Nahdi
|
2.
|
Hassan Othuman Hassan
|
|
3.
|
Riziki Juma Majala
|
|
4.
|
Twahil Twaha Njoki
|
|
Kanda ya 12 (Kilimanjaro, Tanga)
|
1.
|
Davis Elisa Mosha
|
2.
|
Khalid Abdallah Mohamed
|
|
3.
|
Kusianga Mohamed Kiata
|
|
Kanda ya 13 (Dar es salaam)
|
1.
|
Alex Crispine Kamuzelya
|
2.
|
Juma Abbas Pinto
|
|
3.
|
Muhsin Said Balhabou
|
|
4.
|
Omary Isack Abdulkadir
|
|
5.
|
Shafii Kajuna Dauda
|
3.
Waombaji uongozi wafuatao wameondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi:
(i)
Richard Julius Rukambura; Amevunja Kanuni za Uchaguzi za TFF Ibara
ya 10(8) kwa kuomba nafasi mbili za Rais na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji
ya TFF kwenye uchaguzi wa TFF.
(ii)
Titus Osoro; Amejitoa kugombea nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya
TFF.
0 comments:
Post a Comment