
Baada ya kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Crystal palace, Wilfred Zaha timu ya Manchester United imethibitisha kumtoa kwa mkopo mchezaji wake, Federico Macheda kwenda katika timu ya VFB Sturtgart ya nchini ujerumani.
Kocha wa Manchester united Sir Alex Farguson amekiri kuridhika maamuzi ya kumtoa mchezaji huyo kwenda kuitumikia timu hiyo inayoshika nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi ya Bundesiliga.
Kwaupande wake Macheda ambaye atakuwa akivaa jezi namba 14 kwenye timu yake mpya amesema anajisikia faraja kwenda kuchezea klabu hiyo kwani nia yake ni kuhakikisha anacheza soka kwenye kikosi cha kwanza.
Manchester united kwa sasa ipo kule nchini Qatar kwaajili ya maandalizi ya muda mfupi ya ligi huku ikiwa na alama 56 katika ligi kuu ya Tanzania bara.
0 comments:
Post a Comment