BEN JOHNSON AMUOMBEA ARMSTRONG MSHAMAHA WA KIAINA.



 
                               Benjamin Johnson
Nguli wa zamani wa kukimbiza upepo Mcanada, Ben Johnson, anaamini kuwa wamarekani watamsamehe dereva wa mbio za baiskeli wa taifa hilo Lance Armstrong Hamstrong aliekiri hivi karibuni kwamba alitumia madawa ya kulevya wakati akifanya mahojiano katika kipindi cha Oprah Winfrey.
 Lance Armstrong
                                    Lance Armstrong.
Ben amesema afikirii kwa inaweza kuwa ishu kubwa wa wamarekani na badala yake anatoa nafasi kwa Amstrong kufanya kitu tofauti ambacho kitakuwa bora zaidi.
Mwaka 1988 Johnson alikumbwa na kifungo kutokana kashfa inayofanana na hii inayomkabili Amstrong.

0 comments:

Post a Comment